Tatizo kubwa kwa wagonjwa wengi sound effects free download

By dr_alfred01

25 Downloads

2 weeks ago

60 seconds

dr_alfred01 Sound Effects

About Tatizo kubwa kwa wagonjwa wengi Mp3 Sound Effect

Tatizo kubwa kwa wagonjwa wengi wa acid reflux au GERD siyo kwamba mwili umetengeneza Acid nyingi kupita kiasi, bali asidi ya tumbo inafika sehemu isiyopaswa kufika. 👇👇👇 Hapa kuna ufafanuzi wa pointi mbili hizo: 1. Asidi nyingi (Hyperacidity) Hii hutokea kweli kwa wachache tu (mfano:Matumizi ya chakula fulani au matumizi ya dawa fulani). Inamaanisha seli za tumbo zinatoa kiwango cha juu sana cha hydrochloric acid kuliko kawaida. kumbuka👇👇 Ni nadra sana kwenye watu wa kawaida. 2. Asidi sehemu isiyo sahihi -Hii ndiyo chanzo kikuu kwa wengi Kawaida asidi inapaswa kubaki ndani ya tumbo. Tatizo linapotokea, valve inayotenganisha umio (lower esophageal sphincter) na tumbo inalegea au haifungi vizuri. Hii inaruhusu asidi kupanda juu kwenye umio (reflux), na kusababisha hisia ya kuungua kifuani, kukwama kwa chakula, kukohoa, au kuharibu meno. Hata kama kiwango cha asidi kiko cha kawaida, ikifika mahali pasipo na ulinzi dhidi ya asidi (kama umio au koo), husababisha maumivu makali. 📌 Kwa hiyo kwa 90%+ ya kesi nyingi, tatizo ni asidi kuwa sehemu isiyo sahihi, siyo kuwa nyingi kupita kiasi. #constipation #bawasiri #gesitumboni #chookigumu #acidreflux
Tatizo Kubwa Kwa Wagonjwa Wengi Sound Effects Free Download. Sound Effects Downloader To Help You Download The Highest Quality Tatizo Kubwa Kwa Wagonjwa Wengi Sound Effects Free Download For TikTok Videos. You Just Search Sound Effects And Download.

My You Like It