Acid reflux inaweza kusababisha maumivu sound effects free download
By dr_alfred01
209 Downloads
12 months ago
34 seconds
About Acid reflux inaweza kusababisha maumivu Mp3 Sound Effect
Acid reflux inaweza kusababisha maumivu kwenye eneo la moyo. Hii ni kwa sababu acid reflux, au gastroesophageal reflux disease (GERD), husababisha acid kutoka tumbo kupanda kwenye esofagasi,(koo la chakula ) ambayo inaweza kuleta hisia za maumivu au kuchoma kwenye kifua. Mara nyingi, maumivu haya yanaweza kuonekana kama yanahusiana na moyo, lakini siyo mara zote, yanamaanisha matatizo ya moyo. Ikiwa una maumivu haya mara kwa mara, ni muhimu kuonana na wataalamu WA Afya kwanza. #fyp #usa_tiktok #usa🇺🇸 #tanzaniatiktok #zanzibarAcid Reflux Inaweza Kusababisha Maumivu Sound Effects Free Download. Sound Effects Downloader To Help You Download The Highest Quality Acid Reflux Inaweza Kusababisha Maumivu Sound Effects Free Download For TikTok Videos. You Just Search Sound Effects And Download.