DIAMOND ANASEMA BARNABA NI MOJA sound effects free download

By insideoutz__

52 Downloads

2 weeks ago

133 seconds

insideoutz__ Sound Effects

About DIAMOND ANASEMA BARNABA NI MOJA Mp3 Sound Effect

DIAMOND ANASEMA BARNABA NI MOJA KATI WATU WALIMVUTIA KUINGIA KWENYE BONGOFLAVA ! @diamondplatnumz amesema @barnabaclassic amekuwa ni Role Model wake mkubwa tangu anaanza muziki. Anasema alikuwa anaimba nyimbo za Barnaba kutafuta tone ya sauti yake katika uimbaji Lakini la kushangaza , Diamond anasema kwenye wimbo wa Kamwambie ule mstari "Na kama mapenzi bado" alikuwa anauimba "Na kama tatizo bado" kabla hajakutana na Barnaba Unadhani hii inaweza kuwa sababu kubwa ya merehemu Ruge kukiamini sana kipaji cha @diamondplatnumz? #diamondplatnumz #barnabaclassic #kamwambie #bongoflava #insideoutz
DIAMOND ANASEMA BARNABA NI MOJA Sound Effects Free Download. Sound Effects Downloader To Help You Download The Highest Quality DIAMOND ANASEMA BARNABA NI MOJA Sound Effects Free Download For TikTok Videos. You Just Search Sound Effects And Download.

My You Like It