About Mooveny Sound Effects

Daaah huyu demu mshamba kweli😪😪 #mooveny #moovenycomedy #moovenymusic
Kakonda balaa🤣🤣🤣🤣 #mooveny #moovenycomedy #moovenymusic
Mimi ni nani??🤣🤣🤣 #mooveny #moovenycomedy #moovenymusic
Karibuni sana kwenye pool party yangu🙏🥰♥️♥️ #onthisday #mooveny #moovenycomedy #moovenymusic
Ila mapenzi😂😂🙌🙌 Anyway naomba mkaisikilize nyimbo yangu mpya POPO #POPO #mooveny #moovenycomedy #moovenymusic
Nani nimemsingizia😂😂😂🙌🙌 #POPO #mooveny #moovenycomedy #moovenymusic
Nakukaribisha sana kusikiliza wimbo wetu pendwa wa #POPO kutoka kwangu. Unaweza kuusikiliza kupitia digital platforms zote duniani #versetwo #moovenymusic #mooveny #moovenycomedy
#onthisday Nakukaribisha kusikiliza wimbo wangu mpya POPO umetoka leo rasmi🙏🙏🤝♥️♥️♥️ #POPO #moovenymusic #mooveny #moovenycomedy
Nakukaribisha kusikiliza wimbo wangu mpya POPO, wakenyaaaa🇰🇪🇰🇪♥️♥️😂😂😂😂🙌🙌 #POPO #moovenymusic #mooveny #moovenycomedy
Ila mimba😂😂🙌🙌 #mooveny #moovenycomedy #moovenymusic