About Jeymotion Sound Effects

kana jifariji🤣 #jaymotion #mtuliesasa
#jaymotion #mtuliesasa
❤️🤍💙 #jaymotion #mtuliesasa
🤍💙❤️ #jaymotion #mtuliesasa
Nisiwe sababu ya ugomvi🙏🏾 naomba muendelee kuwasapoti kama ambavo sikuwepo mwanzo wanapofanya kazi…naomba msiwatolee wala kumtolea mwanamke kauli chafu badala yake tuendelee na maisha yetu kama ambavo tulikuwepo kabla ya yote haya…Kijana wenu nawapenda sana na ninaomba mnipokee na mnisamehe kwa yaliyotokea nina ahidi kuwafanyia mazuri na kutorudia hiki kilicho tokea 🫂 ❤️ nahitaji kuwa sawa ili niendelee kuwapa kazi nzuri…NAWAPENDA SANA #jaymotion #mtuliesasa
Urafiki wa kweli❤️ @Jaymotion_backup #twinkle🌸 #jaymotion #mtuliesasa
Mama Jay❤️ #jaymotion #mtuliesasa
Faymaah wangu part |2| @TINIDIZZO #jaymotion #mtuliesasa
muendelezo wa mrembo wangu☺️🌹 #jaymotion #mtuliesasa
wamekubadilisha sana sahizi😓💔 #jaymotion #mtuliesasa