About Husseinmiladu Sound Effects

BASHRAF (4) Qasida MADAHTUKA Mtunzi SHARIF HUSSEIN AHMAD AL BADAWY. Nay HUSSEIN MILADU Maqam AJAMI #Husseun_miladu #Ahlu_zamaanPressent
MADAHTUKA
BASHRAF (2) Nay HUSSEIN MILADU Maqam BAYYAAT #Huseein_miladu #AhluzamaanPressent
#FLUTE_NEW_ALBUM_SOUND_TRACK ON YOUTUBE SUCH Hussein miladu SUBSCRIBE pls track 3🙏🙏🙏
AHLU ZAMAAN ZANZIBAR 2025 Qasida *MTUME KWANGU NI RAHA.* Mtunzi *SHEKH WALID ALHAD OMAR KAWAMBWA* Maqam *AJAMI* Msomaji *Ostadh Daudi Tipitipi* AHLU ZAMAAN *Upendo Nidhamu Mshikano*
Nay Hussein miladu maqam ajamii #tanzania🇹🇿 #zanzibar🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪
Hayati ni kitu gani. mbee za tumwa karimu. Bwana asio kifani. Mwenye khuluqa adhimu. Amemuumba mannani. Kwa umbo lilotimamu. Tangu hapa duniani. Na akhera ni imamu. #AHLU-ZAMAAN Ziara Mambrui kenya
BASHRAF (6) Maqam NAHAWANDI Nay HUSSEIN MILADU. Keybod RAMADHAN EL BAYTU Yakimfika maradhi. Yeyote mwana adamu. Anakuwa hajiwezi. Kula yamuisha hamu. Mwili upatwa ganzi. Hulikosa tabasamu. Haupati usingizi. Anahisi ni khitamu. YAA RABB WAPONYE WAGONJWA WETU #Ahlu_zamaanPressent
Nai Hussein miladu maqam Bayyaat Bashraf track 01 #tanzania🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #mozambique🇲🇿 #ugandatiktok🇺🇬 #zanzibar🇹🇿 #tiktok
nay Hussein miladu BASHRAF YA LEO 28/11/2024 #zanzibar🇹🇿 #tanzania🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪