About Asifiweleonardisaka Sound Effects

kazi inaendelea Kama kawaida, nipo na mtumishi Baruani. call me B sound
Son like father
Nakushukuru Mungu wangu kwa jinsi unavyo nilinda nakulinda familia yangu, nakumbuka siku ulie nifanya nibadili jina nakuitwa baba kitu ambacho wengine wame kikosa, sio kwamba Mimi ndie wasamani kuliko wao Bali ni neema yako ulio nineemia Asante kwa yote Mungu wangu.
pisi Kali.
B Sound
soon
nime Rudi tena, sikiliza nyingine hiyo.
nikiwa kwenye kazi ya Mungu
niite B sound, Niko kwenye kazi yangu
hongera sana rafiki yangu, na mwalimu wangu Mungu akutangulie na aluwezeshe ili uweze kufika mbali.